HISTORIA YA JAMII YA GUMBA WALIOISHI ENEO LA MLIMA KENYA MIAKA MINGI KABLA YA JAMII YA GIKUYU

Historia ya Jamii ya Agumba Walioshi eneo la Mlima Kenya Miaka Mingi kabla ya Wabantu na haswa jamii ya Gikuyu Kuingia Eneo hilo/Photo Courtesy
By James Gitaka
Jamii ya Agumba Wanadaiwa Kuishi eneo la Mlima Kenya Miaka mingi kabla ya Jamii ya gikuyu Kuingia eneo Hilo.
Jamii hii wanadaiwa kuwa watu wafupi na waliishi ndani ya mapango na mashimo yaliyochimbwa ardhini.
Walikuwa Wawindaji na wanaaminika kufurushwa eneo hilo na Ndege aina ya Korongo .
NOTE : Image for illustration purposes only courtesy of Fola David – Saatchi Art
Nice features, keep the smart work going.