Watoto millioni 1.8 wameathirika na utapia mlo;makali ya ukame yakiongezeka
Watoto Millioini 1.8 wathirika na utapia Mlo,Makali ya Ukame yakiongezeka/Photo Courtesy
Radio Documentary:
Watoto Millioini 1.8 Nchini Kenya wameathirika na Utapia Mlo,Haya yanajiri ukame ukipelekea zaidi ya Wakenya millioini Nne kukabiliwa na ukosefu wa chakula.
Baadhi ya kaunti zilizoathirika ni kaunti ya Wajir.

‘Futu Special mwenyewe’ ni Mwanafunzi wa Chuo Anwai Cha The Eldoret National Polytechnic -Eldoret.
Futu anapokea mafunzo ya Ukurufunzi(Attachment) katika kituo cha Eldoret Media Hub.
Email:Joelmufutu@gmail.com
