MAKALA: John Pombe Magufuli: Safari ya Kiongozi Aliyebadili Uchumi wa Tanzania Kabla ya Kifo Chake
Magufuli alijulikana kwa kuanzisha miradi mikubwa ya maendeleo kama reli ya umeme ya SGR na kituo cha umeme cha Julius Nyerere, na kwa juhudi zake za kuboresha uchumi wa Tanzania, ambao ulikua kwa asilimia 6 kwa mwaka.

Dr.John Pombe Magufuli.