RADIO FEATURE -MAISHA YA UTOTONI YA BINGWA WA DUNIA ELIUD KIPCHOGE!
“Eliud Kipchoge Alizaliwa mwaka 1984 na kulelewa kijiji cha Kapsisywa kaunti ya Nandi”
ELIUD KIPCHONGE -BINGWA WA DUNIA /COURTESY ELIUD KIPCHOGE FB
Eliud Kipchoge Alizaliwa mwaka 1984 na kulelewa kijiji cha Kapsisywa kaunti ya Nandi.
Eliud alilelewa na mama pekee, kila siku alilazimika kukimbia kilomita mbili kwenda shuleni.
Makala haya yameandaliwa na kusimuliwa na
Ronald Cheptumo, Mwanafunzi Chuo cha Eldoret Technical Training Institute (ETTI),Eldoret.
Email:Keinald44@gmail.com
