RADIO FEATURE;Shanga za Ukeketaji katika jamii ya Pokot!
-Kwa kila wanawake 100 wa Pokot 72 wamepashwa tohara-
Kwa kila wanawake 100 wa Pokot 72 wamepashwa tohara.
Wanaume hushuhudia zoezi hili kwa lengo la kuwaoa wasichana wanaopashwa tohara .
Ann Kachalan Ni Mwanafunzi wa Uandishi wa Habari katika chuo cha African Insitute of Research and Development Studies-AIRADS
EMAIL:kachalanann6311@gmail.com