Radio Feature;Asilimia nne ya wanawake wajawazito wamo kwenye hatari ya kisukari!
NASSOR RAMADHAN MWANAFUNZI WA TASNIA YA UANDISHI WA HABARI KUTOKA CHUO CHA ELDORET TECHNICAL TRAINING INSTITUTE (ETTI)

Image:USNews.com
MAKALA YA RADIO
UGONJWA WA KISUKARI HUATHIRI ASILIMIA NNE YA WANAWAKE WAJAZITO.
HATARI HII IKIONGEZEKA KADRI UMRI WA MWANAMKE MJAMZITO UNAVYOONGEZEKA.
NASSOR RAMADHAN MWANAFUNZI WA TASNIA YA UANDISHI WA HABARI KUTOKA CHUO CHA ELDORET TECHNICAL TRAINING INSTITUTE (ETTI)
EMAIL:bobmayor076@gmail.com